Recent content by alwiy albeity

  1. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    na mimi nahitaji kuzifahamu
  2. A

    JamiiForums Tanzania msaada

    Wakuu,mm ni mjasiriamali niko kwenye kilimo,ila nahitaji kusajili shamba langu kama company limited,nafata taratibu zipi?na pia naomba ushauri wenu juu ya hili ,maana nimeambiwa unapokua na kampuni inayojihusisha na kilimo unaweza kuingiza zana na vitendea kazi nchini bila kulipa kodi.pia...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kilimo: Nina eneo la Ekari kadhaa Kisarawe, nilime zao gani?

    habari ndugu zangu, mimi ni mjasiriamali ninahitaji ushauri kutoka kwenu wazoefu wa kilimo,nina eneo la ekari kadhaa eneo la kisarawe nahitaji kuanza kilimo ,je ni zao gani kwa ushauri wenu naweza kulima nikafaidika?naomba sana ushauri wenu sababu mm ni mgeni kwenye sekta hii ya kilimo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    habari ndugu zangu, mimi ni mjasiriamali ninahitaji ushauri kutoka kwenu wazoefu wa kilimo,nina eneo la ekari 50 eneo la kisarawe nahitaji kuanza kilimo ,je ni zao gani kwa ushauri wenu naweza kulima nikafaidika?naomba sana ushauri wenu sababu mm ni mgeni kwenye sekta hii ya kilimo
Back
Top Bottom