Recent content by Alwatan Mabruki

  1. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

    Nafikiri kwa suala la usalama wa viongozi kulingana na majukumu yao ya kazi, kivipi? mfano kiongozi ametatua mgogoro wa mtu maskini na tajiri, na tajiri akawa ameshindwa kesi lakini hajafurahisha na adui yake hapo namba moja ni huyo kiongozi msuluhishaji. Sasa tajiri anao uwezo wa kumdhuru...
  2. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya Wazee wa connection mtuambie kuna habari gani huko Twitter Naona kuna raia kaliamsha tena dude

    Wadau wanaogopa TCRA...Naskia wameanza kuzingua
  3. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

    Wanawake wana uwezo mkubwa sana pia. Vyama vinapaswa kuwapa nafasi katika Uongozi hasa katika kuwakilisha wananchi Bungeni
  4. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

    Demokrasia ni Wananchi kuamua. Tunakazia hili. Na lieleweke.
  5. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

    Tumeshasema Wapinzani Mwaka huu wamejikomesha wenyewe. Walianzia 2015 kuungana kama UKAWA. pale ndipo walipojizikia kaburi lao wenyewe. Na Mwaka huu ndo maziko rasmi. Warudi wakajipange.
  6. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    swahihi kwa asilimia zote, waache kupotosha Wananchi wema ambao wanaipenda Tanzania sana
  7. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Kila taarifa inayosikika leo ni watu wamepewa, sio Viongozi wenu waliotangaza maandamano kujitokeza
  8. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Una experience nzuri. saafi. vipi wapumuliwa vizuri
  9. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Wananchi hawataki kutumika na vibaraka wa mabeberu kuivuruga nchi yao Mama Tanzania wanayoipenda sana
  10. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Aiseh mimi naona MITANO TENA ya Mzee Baba imetimia.
  11. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

    Hii ni ndoto ambayo itakuja kuotwa na vitukuu vyako, ambapo karne ya 50 huko. CCM MBELE DAIMA NYUMA MWIKO
  12. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    unajitahidi kuunda uongo kufanana na ukweli..sasa tutumie visima vya chidengwa, nkasi kusini na vijiji vyote 2100 ambavyo maji yamefika.
  13. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    Za kuzuia harufu mbaya ya mishuzi ya wapinzani
Back
Top Bottom