Recent content by Alvinus

  1. Alvinus

    Asanteni Ulanga bado Arusha na Ludewa

    Asiyejua maneno yenu anaeza kutishika
  2. Alvinus

    Hongera Lowassa, Hongera UKAWA

    Na Mzee Kingunge salaam kwake...
  3. Alvinus

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Kweli kabsaaaaa.....Ila kwa Rwanda Umuganda n kila mwisho wa mwezi.....m naona hiyo ya usafi isiwe kila tar 9 tu
  4. Alvinus

    Hotuba ya Rais Magufuli akifungua rasmi bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Novemba 20, 2015

    Mi nahisi kuna watu wana "akili mgando" Mtu akishazoea kupinga hata akiambiwa huyu ndo mama yako mzazi lazma atapinga tu.....
  5. Alvinus

    Mahojiano (EXCLUSIVE INTERVIEW) ya JamiiForums na Khamis Kagasheki

    Mzee hana jipya...tushamjua hata akija n kila kitu bule tu, hakuna haja ya kurudia
  6. Alvinus

    Sumaye atakiwa kutoa maelezo juu ya meno ya tembo yaliyokamatwa kwenye gari lake.

    Hahahaahhah...."Two Wrongs" ndo nini?
  7. Alvinus

    ITV imepotosha habari ya usiku juu ya Magufuli

    Hapo ilikuwa kabla ya JP hajafka, unasemaje kuwa n hali halisi wakati alosubiliwa hayuko kwenye hiyo picha?
  8. Alvinus

    GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Ndg yangu hawa watu hawasikii....subiri Magufuli awaonyeshe tar 25/10/2015
  9. Alvinus

    Hii ndiyo tofauti kati ya chaguo la watu na chaguo la viongozi

    MTU kama kashindwa kubadili Salaam tu....unahc atabadili mfumo?
  10. Alvinus

    WanaCCM, na wafuasi wa Lowassa, mamilioni kuhamia CHADEMA wiki ijayo

    Magufuri namuona amekaa Ikulu kabsaaaaaa.... Hao wanaohama hata hatuwashangai.....Xhama kiko Imara sanaaaaaa
  11. Alvinus

    Ikulu si pango la majambazi na wezi

    Dr Slaa atakuja akwambie maana ya povu hilo unaloliandika hapa, na ninahc watu wengne wanaandika kabla ya kuwaza, we huwezi kuwa hata na akili ya kujiongeza ya kwamba kwa nn MTU ahamie huko baada ya kukataliwa sehem nyingne, kwa nn asingehamia mapema, cha kufanya n kuwaacha mkalipuana wenyewe...
  12. Alvinus

    Sasa naamini Zitto aliwekewa mizengwe

    Angekuwa wewe ungekubali kwamba ulifanya hivo? Tunasema MTU yeyote yule ukishampa uwanja wa kujitetea lazma atakupa evidence na ukubaliane na maelezo yake tu, inabd sometime tuwe na maamuzi na sio kushadadia na kushangilia mambo ambayo hayafai hata kdogo, watu was CDM walishasema huyo MTU hafai...
  13. Alvinus

    Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    Na hill ndo linadhihirisha kuwa hapo hakuna cha ukamanda n kutapa tapa tu! MTU hana hata cku tatu kwenye chama wala hajajua misingi yoyote ya chama Leo hii kashapewa ruksa ya kupeperusha bendera, huyo ana malengo ya kuendeleza chama na nchi kwa ujumla au yuko after self interest? kwa nn...
Back
Top Bottom