eti naomba kuuliza aliyemaliza form 4 akaenda college kusomea nursing certificate mwaka wa kwanza mwaka akapiga diploma then akaapply atalipwa shs ngapi?
Habari wapendwa, me ni kijana mwenye uwezo mzuri wa kuchora michoro ya aina yoyote ile kuanzia ramani,katuni hadi vitu halisi. Mpaka kufikia sasa nilikuwa nawaza sana niwe mchora katuni magazetini.
Sijui naanzia wapi kwa wazo la kuchora magazetini ili ninufaike maana ni vigumu kwangu kwenye...
Nampenda sana huyu msichana kwasababu kuna fadhila nyingi sana bila malipo yoyote alinifanyia kwa dhana ya mapenzi ya kweli mimi na yeye.
Nakiri ubize wa kimaisha unanifanya nimuweke pembeni lakini sidhani kama ni sababu ya yeye sasahivi kunitenga kwani mara kwa mara natenga muda wa kumuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.