Habari wadau wa kilimo, naomba mnifahamishe ubora, reliability wa mini tractor za mitsubish vst shakti za arusha zipoje field? Mana mimi nna mashamba yangu madogo tu sihitaji tractor kubwa ili nisave capital
Naomba ushauri ndugu zangu, nina mtaji wa M15 nataka nifungue kiwanda cha kukoboa mpunga, je hela hyo itatosha?, biashara hii inalipa?, yapi maeneo mazuri yakufanyia kwa wilaya ya mvomero mana mim sio mwenyeji hapo?
Karibuni kwa ushauri
Habarini wa jamvi, naomba kupewa ushauri kuhusu kufungua kakiwanda kadogo cha kukoboa mpunga maeneo ya mvomero morogoro. Naombeni ushauri kama inalipa na kama mnaweza pemdeza maeneo mazuri zaid katika kata za mvomero ili nifungue, nina mtaji wa milioni 15 hv utatosha?
Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.