Recent content by alunashadya

  1. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta Mwl kutoka manispaa ya mtwara mikindani aje manispaa ya ilala shule ya msingi mawasilianoi tuna SMS 0713775850
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ofisi gani ya serikali uliingia na kupatiwa huduma mbovu?

    pspf wababaishaji sana
  3. A

    JamiiForums Tanzania Picha ya Rais na Mwalimu Nyerere ofisi za Umma na Binafsi ni kwa mujibu wa Sheria gani? Kwanini?

    Inasaidia kuthibiti udokozi maofisini
  4. A

    JamiiForums Tanzania PSPF mbona wasumbufu katika kulipa mafao?

    wao wanadai hundi iko tayari eti bado haijasainiwa na benki kuu??? hapo sijaelewa
  5. A

    JamiiForums Tanzania PSPF mbona wasumbufu katika kulipa mafao?

    Ahsante Mkuu nitaibukia jumatatu
  6. A

    JamiiForums Tanzania PSPF mbona wasumbufu katika kulipa mafao?

    mkuu kila kitu alikamilisha wkt aliomba likizo ya kustaafu,kwani mpaka sasa wanadai hundi iko tayari mpaka isainiwe na benki kuu ndio itamfikia kupitia mwajiri hadi pspf mkoani mtwara
  7. A

    JamiiForums Tanzania PSPF mbona wasumbufu katika kulipa mafao?

    Mama anafatilia akiwa mkoani mtwara,kila akienda eti arudi au apige simu baada ya wiki mbili yaani miezi 4 sasa,mimi nilijaribu kufatilia wakanipa namba yao ya simu eti apige watamuelekeza,dah ni usumbufu
  8. A

    JamiiForums Tanzania PSPF mbona wasumbufu katika kulipa mafao?

    Wadau JF, Napenda kujua, hivi mtumishi anapostaafu itachukua muda gani kulipwa mafao? Nina mama yangu alistaafu tangu Machi 31. Hadi leo anahangaikia malipo bila mafanikio, wanampiga kalenda sana, haelewi, wakati ile ni haki yake kisheria. Hebu wenye uzoefu naombeni mawazo.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hivi wabunge wa CCM wanapokuwa Bungeni, hujadili hoja kwa kuelewa kinachojadiliwa au hupitisha tu?

    wabunge mizigo bora wananchi wawatose tu,itakuwa ajabu kweli wakirejea tena bungeni oktoba!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia leo wakati natuma fomu ya bodi ya mikopo

    Muonekano Mzee wa makamo mjanja mjanja anatafuta ya mboga
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia leo wakati natuma fomu ya bodi ya mikopo

    Ktk online unajaza tu ukiprint unapaswa upeleke kwa kamishna wa viapo na serikali ya mtaa ndipo uitume
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia leo wakati natuma fomu ya bodi ya mikopo

    Yule mlinzi nilimgundua kama mjanja mjanja,hivi mimi nilimkwepa,risiti unapewa ukishakamilisha toka kwa watoa huduma wa EMS!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia leo wakati natuma fomu ya bodi ya mikopo

    Habarini wanaJF wenzangu! Nnatoa dukuduku ya niliyoshuhudia leo, leo nililazimika kwenda kuituma fomu ya bodi kinachoshangaza hawa jamaa wanataka tutume kwa EMS. Nilifika posta nikakuta foleni kiasi ya watu wakingojea kupata huduma hiyo, nikaenda upande flani nikamkuta mlinzi anakagua form na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania StarTimes mnazihujumu ITV na star tv kwenye upande wa habari

    Hata me nimekuwa nafatilia isidingo nikadhani antena kumbe kotekote
Back
Top Bottom