Recent content by Aluminium Technician

  1. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge

    Jimbo la Rombo, Kijana msomi ametangaza nia.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

    Mkuu sikushauri kununua materials, tena gharama zitazidi, maana kwenye utengenezaji Fundi hatoumiza kichwa maana anajua utanunua tu, katika ukataji chuma na kioo kuna mahesabu makali sana, utajikuta unabaki na waste kibao
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Mbezi Chini yazidi kuwa kero, Barabara yavamiwa na wafanyabishara. Mamlaka ziingilie kati

    Kabisa, na wale wanaochoma nyama za usiku pale za buku buku na mishkaki ya mia mbili, mamlaka iangalie kama zinafaa kwa binadamu baadae tusije kusababisha watu kuingia kwenye gharama za matibabu yasiyo ya lazima
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

    Haaaa haaaa, usiogope mkuu, Mambo yatakua mazuri huko mbeleni, unaweka ata mawili mawili, unajikuta mwisho wa siku umemaliza yote, na nyumba inang'aa kama white House
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

    Kwa vipato vya kawaida useme nyumba isimame moja Kwa moja ni mtihani, lazima uende kwa stepu wangine wanahamia hivo hivo alafu ujenzi unaendelea mdogo mdogo
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

     Ndio Tajiri, hiyo ukiipiga mgeni akikutembelea lazima ashangae shangae kidogo, maana kipindi cha nyuma watu walikua wanadhani Upvc ni kwa ajili ya nchi za Ulaya zenye baridi kali
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

    Aisee, Hatari Sana, ujenzi siyo mchezo kiongozi, lazima ufunge mkanda kweli kweli
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

    Double Glass inakua hivi
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

    Single Glass inakua hivi
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

    Upvc 6ft*5ft iko hivi Single Glass ni laki tano na tisini, alafu Double Glass ni laki saba na nusu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

    Habari, Iko hivi, Aluminium profile inategemea na kampuni, rangi, size, kwenye vioo pia zipo aina nyingi, pia vinatofautiana milimita, kwa hiyo bei haziwezi kufanana, hivyo basi kuna kampuni za chuma kama Emirates, Dubai, LN future, CAT, Bluebay, Royal. Pia vioo kuna vya China na Indonesia. Kwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania natafuta fundi bati na fundi welding kwa aajili ya madilisha uwe unatokea bunju au tegeta

    Hongera Boss, ukifika kwenye aluminium na vioo, karibu Mbezi Aluminium and Glass, bei ni za kizalendo Sana. 0743664260
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza na-report Mzumbe university first year nilikua disappointed sana na mazingira

    Mwanafunzi wa chuo kikuu anakunya juu ya choo kweli? Ilinisikitisha Sana.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu na uchambuzi wangu mzito na wa kina kwa hotuba ya Askofu Dkt. Gwajima

    Huyu Jamaa ana Elimu gani Kwanza?Maana mda aliochukua kuandaa hichi alichokiandika inafikirisha Sana, ila anyway bora uendelee kulima tu, ata ukulima wako unatia shaka, kama uelewa wako ndo huu
Back
Top Bottom