Maana yake faida ni 3k kwa kila kuku ambapo kila kuku anakulipa Sh 100 Kwa siku faida , ni sawa na kusema katika 9K ya mauzo 66% ni gharama za uendeshaji. Je unafuga kwa wingi gani??? Ili kuna jambo tueleshane
Zote Biashara nzur sana inegemeana na ww muda wako na ufuatiliaji wako Kwa sasa hivi kwa maeneo Tabora Gunia la mpunga ni around 90K to 100K while ukisema ulime hilo gunia can cost you around 10K-20K so uchaguzi ni wako na soko lako lkn ni Biashara moja nzuri sana na recomendeble kwa sanabu sio...
Habarini wadau
Je kuku wakubwa km jogoo au koounaweza kumpa change zote na kweli ikawa tiba ama kinga kwa Magonjwa.
Maana nina mpango wa kununua makoo mengi ili niwafanye kwa ajili ya kuuza mayai tu tray moja ni 15K. Sasa nimepiga hesabu naona kunua makoo ni rahisi kwa mazingira niliopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.