Recent content by AlphaBravo

  1. A

    The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

    Kuna njia nyingi za kupambana na watu wanaotishia amani. Na moja wapo ni kama hiyo na mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote wa yeye kupigwa risasi. Kwa jinsi ya ushabiki wa watanzania mpaka sasa tungeona picha tayari mitandaoni jiulize zipo wapi mpaka sasa au na wao hawaliamini jeshi la polisi.
  2. A

    The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

    Sioni kosa hapo, huyu mtu anahamasisha udini na uislamu wa msimamo mkali kwa nini hachukuliwi hatua. Mpaka sasa serikali imekaa kimya bila kufanya lolote , ikiishia kulalama,....je na wenyewe wanahusika?. Udini upo lakini unamipaka yake siku zote, na sioni tatizo pale watu wanaotaka kuleta udini...
  3. A

    Decentralization in CHADEMA(Muundo wa Majimbo): A Positive Move

    Ben Si lazima uwe na sera ya majimbo kuwa kalibu na wananchi,kwanza linapokuja jambo kuhusu majimbo Hatua ya kwanza ni ya kuyapa majimbo uhuru wa kuweA kujiamulia mambo yake kwa kufuata katiba ya nchi,pili hii inaamanisha kwamba jimbo litakuwa na serikali yake yenye mahakamani,polisi,jeshi n.k...
  4. A

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Huu ni upumbavu wa Hali ya juu kabisa,sasa kwa ujinga huu ataiweza Chadema kweli.
  5. A

    Usia wangu kwa Zitto na washirika wake

    Poor analysis and one sided.....Lukololo uwezo wa uchambuzi wako katika mambo ya kiintelijensia nina shaka nao.Kabla sijaingia kiundani hebu jaribu kugoogle 'Too fast..too furious Mexico Guns' utatambua hata nchi huwa zinapandikiza watu wake kutenda kitu ili kuwakamata waarifu.Nirudi kwenye hoja...
  6. A

  7. A

    Ukimya wa 'media za CCM' kuhusu mnyukano ndani ya BAVICHA

    sijataka kumalizia kusoma majibu ya watu kwa kuwa wote mpo ndotoni tu...kwa ufupi CCM/VYOMBO VYA HABARI VYA CCM VIKIINGIRIA WANA CHADEMA WATAJIUNGA WATAKUWA KITU KIMOJA NA KUMALIZANA WENYEWE KIMYA KIMYA.SASA KWA KUKAA KIMYA WANACHOCHEA UGOMVI UENDELEE KWA KUONYESHA JAMBO HILI SI LA UMUHIMU...
Back
Top Bottom