Recent content by alpha1

  1. alpha1

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ndiyo. Duka la spareparts za electronics Natta Mataa zipo, na ataelekezwa kwa fundi wa kuiweka.
  2. alpha1

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu iNine9, kama tatizo ni hiyo TPA3116D2, fundi yeyote aliyeko Mwanza anaweza kuweka. Nenda Natta kwenye taa za traffic , kuna maduka ya spea za electronics, watakuelekeza fundi wa kukusaidia. Ila kama tatizo ni hiyo chip ya package ya QFN-48, itabidi uwe tu mpole na ufanye utaratibu mwingine.
  3. alpha1

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Kumbukumbu: Wazee wa miaka ya 70, 80, na 90 tukutane hapa kushusha picha za vitu vyetu vya zamani na ku share story ya vitu hivi

    Sabuni mkombozi (1978-1979): Hii ya kijani haikuwahi kuuzwa dukani. Ilikuwa ya bure.
  4. alpha1

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Kumbukumbu: Wazee wa miaka ya 70, 80, na 90 tukutane hapa kushusha picha za vitu vyetu vya zamani na ku share story ya vitu hivi

    Sabuni: Ilula, Mshindi, Revola, Ayu.... Mafuta ya kupaka: Ayu, Monica, Yolanda..
  5. alpha1

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Hongera kwa uchambuzi mzuri mkuu. Kama sababu ni hizo, inaonekana hakufanya market research ya kutosha, kujua soko linataka nini na atumie njia gani kupenya na kubakia kwenye soko.
  6. alpha1

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu, unashauri nini afanye ili kuweka mambo sawa, biashara yake isonge mbele? Maana hali kama hii inavunja moyo kwa mtu mwenye wazo la kuwekeza katika soko la teknolojia nchini mwetu.
  7. alpha1

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Uko sahihi mkuu. Hiyo inayokufa inaitwa microcontroller, ambayo inahusika na settings za muziki na display operation kwa pamoja. Mafundi wengi huita display tu. Kwa sasa zile zinazotumia PT2313 zinatengenezeka.
  8. alpha1

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Kwa sasa zinazotumia PT2313 zinatengenezwa mkuu.
  9. alpha1

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Kodtec(Konzo Digital Technology) ni kampuni ya Mtanzania aitwaye Japhet Patrick Konzo, ambayo bidhaa zake hutengenezwa China, under Kodtec-branded ODM business model. Nashindwa kujua kampuni ya Kodtec inakwama wapi, maana subwoofer zake zinakubalika sana sokoni. Labda kulingana na ubora wake...
  10. alpha1

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Kwa mtazamo wa juu juu usio wa kitaalamu zaidi, uko sahihi. Ila kwa mtazamo wa kitaalamu zaidi, mkuu nerilan yuko sahihi. Speaker impedance inabadilika kulingana na input frequencies zinazoingia kwenye driver(speaker), kinatokea kitu kinaitwa coil inductive reactance. Ambacho hakibadiliki ni...
  11. alpha1

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ni ngumu kupitisha signal moja kwa moja kwenye PT2313 kwa kuwa hakutakuwa na I2C commands za kuendesha hiyo PT2313 kutoka kwenye MCU, ambazo zitafanya signal za sauti ziwe selected kwenye source channel, pia ku-set attenuators za output channels, treble, gain etc. Hivyo PT2313 haitafanya kazi...
  12. alpha1

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi projector

    Sawa Mkuu.
Back
Top Bottom