Recent content by Alpha Isaya Nuhu

  1. A

    2024 Stories of Change Award Ceremony: Zimebaki Siku 5 tu kutoa Tuzo kwa Washindi. Upo Tayari?

    Hongera JF kwa kubuni Shindano hili. Linajenga uwezo wa watu ea kujieleza na wakaeleweka.
  2. A

    Rais Hakainde Hichilema aifuta kazi Bodi yote Tume ya Kupambana na Rushwa kwa tuhuma za kupokea Rushwa

    Takukuru is a bogus institution and hasn't done anything to combat the cankerworm of corruption as it protects the rich.
  3. A

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia

    Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia Na Alpha Isaya Nuhu Kwa TANZANIA TUITAKAYO miaka 5 au 25 ijayo, hakuna mjadala kwamba nyanja ya sayansi na teknolojia ndiyo itakuwa mhimili utakaotawala maendeleo na maisha ya Watanzania tunaposhuhudia kasi kubwa ya...
  4. A

    SoC04 Kufikia “Tanzania Tuitakayo”: Kila sekta ya maendeleo yahitaji maboresho

    NA ALPHA NUHU KUANDIKA makala maalum kuhusu “Tanzania Tuitakayo” miaka 5 au 25 ijayo, ni kujadili mada nzito na pana inayohitaji maelezo marefu ya kina yanayoweza kutosheleza hata utunzi wa kitabu. Mada kama hii ina mvuto kwa wasomaji kwa sababu imebeba matumaini ya Watanzania kuiona nchi yao...
Back
Top Bottom