Mawazo yako na Elimu yako ya Biblia ipo juu ila Jaribu kuiinterpret kwa undani zaidi na Tafakari maana connotatively…hatulumbani ila itafaa kwamba Imani yako iheshimiwe na za wengine pia ziheshimiwe🙏
Hoja hii ilianzishwa rasmi na mwanafalsafa mkubwa wa Kigiriki Aristotle, na baadaye ikaboreshwa na kufanywa ya Kikiristo na mwanateolojia na mwanafalsafa mkubwa wa Kanisa Katoliki, Thomas Aquinas (kama mojawapo ya Njia Tano za kuthibitisha uwepo wa Mungu katika kitabu chake cha Summa...
Ni kweli uko sahihi kwamba aliyesema baraza la nicea halikuongelea swala la Maombezi ya Marehemu ila namsupport kwa kutia hapo baraza lililoongelea maswala hayo although may sound too Catholic unaruhusiwa kuyapinga but kama unataka kujifunza zaidi siku moja moja si mbaya kupitia hiii council of...
Samahani Kiongozi naomba nitoee kidogo maoni kuhusu mada yako ni kweli logic ya mawazo yako yanapaswa yapewe heshima sababu ni mawazo binafsi na mtazamo wako haujawa mbaya at all but ukiichunguza biblia vizuri kwa kusoma unaona kitabu cha wamakabayo ambacho kinatumika katika Catholic side na...
yah hii inaonekana kwenye interstellar ila wao wanaamini time on earth na on space ni tofauti in terms of relativity so unaweza kuta hiyo miaka kwa hao kwenye hiyo space ship ikawa ndogo kabisa kama wakienda nearly the speed of light kitu ambacho hakiwezekani😂😂
anyways ni nadharia tu za movies...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.