Recent content by Aloyce Shirima

  1. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

    Haha dalili za kuishiwa, walianza na Umoja ni ushindi, wakaja hapa kazi tu, sasa wamekuja na m4c. Ikitoka hiyo huenda wakaanza kumuita dr. John E Lowasa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli na mradi wa laptop kwa kila mwalimu,hivi tatizo ni ukosefu wa laptops?

    Hivi kwel mtu aliyewaambia watu wa kigamboni kuwa atakayeshindwa kulipa nauli ya pantoni apige mbizi, ndo huyo atagawa laptop za bure? Embu tuachane ndoto za mchana aise
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa continuing students

    Kwa ifm majina yalitoka since last week
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

    hii ndo tabu ya kuwa na wanasiasa walafi na wabinafsi wanaopigania maslahi yao kwanza na ya utaifa baadae..hv wanataka kusema wanapokuwa katika shughuli zao binafsi kwa siku wanaweza ingiza zaidi ya hiyo laki 3 kwel???
  5. A

    JamiiForums Tanzania msaada kuhusu loyola

    kwa niijuavyo loyola ni day school,bt kwa a levo wanapataga nafasi za hostel
  6. A

    JamiiForums Tanzania JKT watoa option ya kuahirisha mafunzo awamu ya TATU.....!!!

    duuuh hivi hiyo ya kuwaandikia barua si ndo unajifunga 2 kwao afu ukamalza watakufuatilia 2...cha maana n kutowaandikia kitu chochote 2 tweze2n vyuon 2....n mtizamo 2 wandugu
  7. A

    JamiiForums Tanzania msaada IFM first year registration tafadhali

    daah ki ukwel ifm kuna ukiritimba mkubwa na wizi mtupu...embu fikiria kuwa student id et buku 20000 whle vyuo vingne n buku 5 had 8..et registration n 50000 while vyuo vngne n buku 10 2...c wizi huu???
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ifm waanza kutoa admission letters and joining instructions

    Kwa wale waliochaguliwa kujiunga na chuo cha usimamizi wa fedha(IFM) n kwamba admission letters na joining instructions zmeshaanza kutolewa chuon hapo tokea jana....kwa maelezo zaidi tembelea ofisi zao chuoni hapo kwa maana bado hawaziweka kwenye website yao..
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa waliochaguliwa ifm

    duuh kaka hongera aisee..en shukran kwa ushauri,in fact m ndo nategemea kuja hapo kupga banking n finance..vp hii koz n ngumu xana??
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wasomi hodiiiii....!!

    karibu kaka..
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaokuja IFM

    n aje kaka..nmependa ushaur wako n big up kwa sana..xaxa naulza hv hupatkanaj wa hostel ndani ya chuo ukoje???
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe aagiza wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wakamatwe!

    halloow brothers n sisters...
Back
Top Bottom