Recent content by almuldawiylah

  1. A

    2004 GX 110 bei ya kutupaa!

    hebu fanya uitoe hii post mi nimenunua gari kama hii mwezi wa 12 mwaka jana kwa 15ml.itoe bwana inantia uchungu
  2. A

    2000 raum for sale

    very economic car. ulaji wake wa mafuta nadhani kama wa bajaji vileeeee. wenye hela mashine hiyooo
  3. A

    IST inauzwaa, tizama hapa!

    kwa sie tunaoishi huku madongo poromoka hiyo gari itatufaa kweli??
  4. A

    nadia nyingine inauzwa ya bei poaa

    dully mo hizi gari unazipata bure au?
  5. A

    2001 NADIA 3S NZURI sana hasa kwa MADUU

    kaka umetumia maneno makali hayo!
  6. A

    2001 NADIA 3S NZURI sana hasa kwa MADUU

    kumbe humu ndani kuna mpaka mashemeji. gari ni nzuri na bei sio mbaya hasa kwa 3s engine. ila toka mafisadi wakamatwe hali imekuwa MBAYAAAA
Back
Top Bottom