Ni kweli kabisa bila roho wa Mungu hatuwezi kufafanua maandiko. Kwa upande wa siku kwenye unabii siku moja kwa mwaka mmoja
Uko sawa kabisa kiongozi, ila Katika unabii siku moja ni sawa na mwaka mmoja (angalia Ezekieli 4:6 na Hesabu 14:34).
Ndiyo maana kitabu Cha Daniel na Ufunuo umetaja siku...
Asante sir, kitabu Cha ufunuo ni kitabu Cha unabii, lugha iliyotumika ni lugha ya kimafumbo inayohitaji kupambanuliwa. Kwa mujibu wa maandiko ya kitabu hicho unaposema "malaika" inamaana ya "Mjumbe".
Asante sir, kitabu Cha ufunuo ni kitabu Cha unabii, lugha iliyotumika ni lugha ya kimafumbo...
The verse in question says "they had a king". After Mohammed died near the close of the 13th century, the Mohammedans were divided into various factions under several leaders. Near the close of the thirteenth century, Othman founded a government which has since been known as the Ottoman...
Imani ni hakika na bayana ya mambo yatarajiwayo, ni kuwa na hakika na jambo kutokea au kutimilika pasipo shaka. Kila mtu amekuwa na kile anachokiamini, japo kuwa sote tunaamini uwepo wa Mungu. Ni nadra sana kusikia mtu haamini uwepo wa Mungu. Hii yote imetokana na hitaji la mwanadamu katika...
Ni vyema JamiiForums mkawa mnafanya uchunguzi kwanza wa taarifa kama hizi kabla ya kuzipost hewani.
Vipi ikibainika hakuna ukweli wowote wa tuhuma hizi, hamuoni mtakuwa mnaharibu credibility yenu kama sehemu sahihi ya mtu kupata habari.
Hatuwezi jua, huenda mdau akawa na ugomvi au bifu na...
Imani ni hakika na bayana ya mambo yatarajiwayo, ni kuwa na hakika na jambo kutokea au kutimilika pasipo shaka. Kila mtu amekuwa na kile anachokiamini, japo kuwa sote tunaamini uwepo wa Mungu. Ni nadra sana kusikia mtu haamini uwepo wa Mungu. Hii yote imetokana na hitaji la mwanadamu katika...
Ndiyo, elimu maalumu inakuga mahitaji Yao moja kwa moja.kwa mfano wanafundishwa namna ya kujitegemea kupitia maarifa kama vile namna ya kwenda chooni, kufua na kupika.
Kiuhalisia majumbani watoto hawa huwa wameachwa na kufungiwa ndani
Ikisiri
Nitumie fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema na kunipa nafasi ya kuandika makala hii kuhusu elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum kwa makundi yao. Katika makala hii nimeeleza changamoto zinazowakumba watoto wenye mahitaji maalum katika sekta ya elimu pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.