Recent content by alma gemela

  1. alma gemela

    Safari ya kuchosha kutoka Musoma - Arusha

    hiyo story yako inafanana na yangu ilikuwa ni 2007 January ila sisi gari liliaribikia maeneo hayo hayo mida ya saa sita na kifaa walisema arusha ndio karibu bahati nzuri kuna Kia ya wachina wakijenga hotel tulipata lift kwa 5000 hadi karatu nililala karatu asubuhi niliendelea na safari
  2. alma gemela

    Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya utengenezaji ndege ya Boeing

    sio hosp haina pesa ya kununua panadol sera ya manunuzi ni lazima MSD ukosefu wa dawa upo sana unaweza ukawa na panadol huku syringe hakuna hosp za wilaya zinachangamoto hizo
  3. alma gemela

    Super-moon: Kuonekana Leo baada ya miaka 68

    Nikiripoti kutokea mtwara mwezi unang'aa sana ila sio mkubwa sana
  4. alma gemela

    Umeme Ruangwa ni shida

    Mtwara tu ndio wanaraha na umeme masasi. Rwangwa liwale nachingwea kuna shida ya umeme
  5. alma gemela

    Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

    Dont waste your effort your too young please stay away from me naambiwa hayo maneno hapo nimetoka mfumania aki wanaume ni moto wa gas
  6. alma gemela

    Namna ya kufika Botswana kutokea Dar es salaam

    Jeans za kkoo unampoteza mwenzio bora sandles za kimasai, Rasta, body spray za rasasi
  7. alma gemela

    Namna ya kufika Botswana kutokea Dar es salaam

    Kuna Mtanzania anafundisha Chuo PIA Ana tuition center yake PIA anauza na bidhaa za chakula kutoka tz hadi Nazi za Azam
  8. alma gemela

    Namna ya kufika Botswana kutokea Dar es salaam

    issue unaenda kufanya nini lazima wakuoji migration Mara ya kwanza naenda cm ilizima chaji so sikuwa na address kichwani ilibidi nipige chabo kwa wahindi nilibadilisha no Tu ikabuma ikabidi Ni charge cm nipate address na hapo Ni mpaka WA south Africa na Botswana before kwenda make sure Una...
  9. alma gemela

    Namna ya kufika Botswana kutokea Dar es salaam

    J'burg to Gaborone nauli rand 450 pulla 350
  10. alma gemela

    Namna ya kufika Botswana kutokea Dar es salaam

    kwa bus gharama zinaweza zidi ya hapo na kutumia mda mrefu njia rahisi tafuta ticket ya fast ya johanesburg ukifika airport. Saa 6:30 mchana Kuna bus ya kwenda Gaborone Ni masaa sita ILA mipaka ya Botswana wapo vizuri angalizo usibebe bidhaa za kuuza bila kibali PIA mpakani wanauliza hadi...
  11. alma gemela

    MONICA: Mwanamke mnene mwenye malengo ya kunenepa zaidi

    Kg 1000 ngozi nyeupe akili zao bana yeye anatamani ajitese kisa kuwa no one Mie kg 67 Tu nahangaika kuzipunguza chaaa
Back
Top Bottom