Recent content by alm

  1. alm

    Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

    na huo ndio uamuzi sahihi dr aachwe awe mwanaharakati binafsi wa kupambana na serikali kudai haki anazoona serikali haitendi sawa
  2. alm

    Wasifu mfupi wa Mkurugenzi Mpya TISS, Ali Idi Siwa

    ni shida sana mkuu hawa wote ni chawa wao, fikiria spika wa bunge ni chawa wa serikali
  3. alm

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    kulingana na mtiririko wa bandiko lako na ukweli wa mambo ulivyo hii idara bora ibadilishwe jina na kuitwa idara ya usalama wa Rais / na vigogo wa serikali na maslahi yao
  4. alm

    Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

    bora umejua siri Yesu anakaribia kuja tena jiandae. uliyoeleza ndio mtaji wa ccm kukaa madarakani taifa la ovyo sana
  5. alm

    Mwabukusi atangaza mapambano tena "Tunakwenda barabarani"

    hivi ni utumbo gani umeandikwa hapa? Ni raha ya ccm kuzalisha wapumbavu na nguruwe kama hawa wasiojua chochote
  6. alm

    Mwabukusi atangaza mapambano tena "Tunakwenda barabarani"

    ni mwelewa anajua haki zake sio mpumbavu na nguruwe kama wewe
  7. alm

    Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu Mpya wa TISS, Said H. Masoro, na Mtazamo wangu

    hivi Tanzania tuna usalama wa taifa au tuna usalama wa ccm na viongozi wake mafisadi?
  8. alm

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    ccm inapenda kuzalisha watu wajinga ili iwatumie kubaki madarakani. Mtaji wa ccm ni watu wapumbavu
  9. alm

    Mzee Duni Haji: Kwa mara ya kwanza ndio nimeshuhudia Mkutano wa Siasa Meza kuu Wamejaa Maaskofu, Mapadre na Wachungaji, CHADEMA ni Wadini!!

    Mtu akishaitwa Duni unategemea haya: Akili duni Fikra duni Mtazamo duni Mawazo duni Huyo ni Duni hata mtu kumfuatilia mpaka kuleta uzi hapa naye ni duni
  10. alm

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Umesahau hili la kujilimbikizia madaraka makubwa sana kikatiba na Rais kuwa kama Mungu mtu ambalo linatusumbua mpaka sasa
  11. alm

    Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Huu uzi ni mzito sana inatakiwa uwekwe kila mahali nchi nzima na kufundishwa mashuleni na vyuoni. Samia hamna kitu pale. Ni huu ujinga wa ccm kubebana kwa kujuana, mitala nk ila huyu hata uwaziri hatoshi achilia mbali makamu wa Rais na sasa hivi Rais. Mgufuli hakumchagua maana mpaka anateuliwa...
  12. alm

    Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    HEBU TUMA VIDEO CLIP YA HIYO AJALI HEBU TUMA VIDEO CLIP YA HIYO AJALI
Back
Top Bottom