Recent content by Allysijja

  1. A

    Driver III (3 Post) Dar es Salaam Development Corporation (DDC)

    Asante mkuu, mnapatikana wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. A

    Driver III (3 Post) Dar es Salaam Development Corporation (DDC)

    Asante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    Driver III (3 Post) Dar es Salaam Development Corporation (DDC)

    Asante mkuu, Vp leseni ya awamu ya pili inakuruhusu kuendesha gari aina gani? Na je za serikali unaweza kuendesha? Naomba kujua maeneo ya banana kuna chuo chochote cha veta ambacho naweza nikajifunza driving? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    Driver III (3 Post) Dar es Salaam Development Corporation (DDC)

    Habari; nahitaji kujifunza driving, nataka nijue unasomea kwa mda wamiez mingapi na ukimaliza unapata leseni aina gani na je hiyo leseni inatumika kuendeshea magari aina gani? Pili, nataka nijue inachukua mda gani kusoma level nyingine? Nahitaji kujua mkuu. Please Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    Kwa huduma za Mafunzo ya udereva wa awali karibu sana Home of Excellence Driving School

    Nice Mungu akulipe mazuri Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom