Recent content by allysia

  1. allysia

    Hospitali ya Mkoa wa Arusha (Mt. Meru)

    serkali inakwambia mjamzito atibiwe bure lakini vifaa kama glovez.pamba dawa na vitu vingine haivisupply kwenye hizo hosp unategemea nesi amzalishe mkeo mikono mitupu bila gloves ndo mana anamucha manesi na wafanyakazi wote wa afya wanafanya kazi kwenye mazingira magumu sana ni mungu pekee ndie...
  2. allysia

    Hivi mke wangu anajiandaa kuachana na mimi au?

    hufai kabisa ww mwanaume una mwanamke mwenye kujituma lakini huna akili anajiandaa kukuacha huyo nampa hongera sana amefanya maamuzi mazuri sana
  3. allysia

    Kwa wakina dada zangu tu na kwa wanaume chungulieni tu ila haiwahusu sana

    swali gani sasa hilo na ukijua itakusaidia nn
Back
Top Bottom