Recent content by allymaker

  1. A

    SoC04 Je, tunayo nia ya dhati kutokomeza vitendo vya rushwa na ufisadi?

    Rushwa ni kitu chochote Cha thamani kinachotolewa Kwa lengo la kumshawishi mtu afanye au asifanye jambo fulani kinyume na taratibu na Sheria. Aidha kwa mujibu wa benki ya Dunia rushwa ni matumizi mabaya ya madaraka kwa manufaa binafsi. Sheria za Tanzania zimeharamisha vitendo vya rushwa chini...
  2. A

    Utafiti: Masikini wana uwezekano Mkubwa wa kutoa Rushwa kupata huduma za msingi kuliko matajiri

    Kitu cha kwanza ni kujielimisha kuzijua haki zetu katika sehemu tunazoenda kupata huduma. Wengi tunatumbukia kwenye mtego wa rushwa kwa sababu hatutambui haki na wajibu wetu. Pia kila mmoja anao wajibu wa kutekeleza katika mapambano dhidi ya rushwa ikiwa ni pamoja na kuripoti vitendo vya...
Back
Top Bottom