Wakuu habari ya jioni mi naomba msaaada kuhusu kuhama chuo pamoja na kozi uliyopangiwa kutoka private kwenda private je inawezekana kwa bachelor degree ???na kama ndivyo taratibu gani naweza kufuata ili kukamilisha muamala huo naombeni mnisaidie wapendwa.ahsante
Jaman habarini za jioni samahani kama kuna yeyote aliyefanikiwa kuyadownload majina ya degree mwaka 2016/2017 aniPM Nimpe namba angu anitumie whatsup kozi asaiv kwenye simu yangu inandika not found ila majina yapo kwenye website yao
Hiyo haina tatizo mbona kozi mfumo na vyeti ni vitu viwili tofauti na ndiyo mana kila mtu anatumia namba badala ya jina ukiingiza namba jina lifajitokeza kama lilivyo kwenye cheti hivyo usiwe na waswas
Bodi ya mkopo leo imetoa majina ya waombaji wa mwaka 2016/2017 waliokosea kwenye form zao na wengine watakiwa kufika kwenye ofisi za BODI hawa ni wale ambao hawakusaini kwenye fomu hivyo wametakiwa kufika DAR NAMJOMA ROAD kuona majina hayo tembelea www.olas.heslb.go.tz
Jamani nit vunjeni ukimya mtoe majina ya undergraduates mana hadi vingine vimeanza kutoa second round nyinyi first round hamtoi mnatuumiza vunjeni ukimya
Sasa wewe kumbe elimu yako ni shida haikusaidii kabisa kama neno temporarily disabled ndo limekuchanganya wakati hata tcu wakati mwingine waga inaandika hivyo think big
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.