Recent content by allydasmartboy

  1. A

    MSAADA WA MAWAZO

    Njoo ndugu unipe plan hz
  2. A

    MSAADA WA MAWAZO

    Tatzo mwaka huu wenye 2 wamekosa wengi kwwl hata hii hawamu hatuji kama tuta pata yaani
  3. A

    MSAADA WA MAWAZO

    Hiyo me sipo tayar ila tatzo mwaka huu nafas za kupata chuo ni kaz ndugu ndio maana mama kaniambia nitafute plan B mapema
  4. A

    MSAADA WA MAWAZO

    Me n mwanafunzi nimemaliza PCB mwaka nina 2 ya 12 ila nina CC na S ya phy sasa hawamu ya kwanza niliomba SUA UDSM na UDOM ila nimekosa ingawa nimeapply tena ila mama kankambia nitafute plan B yaani nifanye shukhuri yy ataniwezesha kamtaji sasa ahida yangu kubwa ni USHAURI kama wa chuo au hata wa...
  5. A

    NIMESHAKATA TAMAA NA HII SYSTEM YA TCU

    Ndio maaana yake ndio maana nimekuambia nimeshata tamaa
  6. A

    NIMESHAKATA TAMAA NA HII SYSTEM YA TCU

    Mpaka sasa sijatumiwa code na vyuo vyote nilivyoomba majina wamesha toa hivi niombe tena au niombe vya private tu na wakati huo huo wenye 3 wamepata vyuo huku wenye 2 wakiwa wanaangaika na vyuo tu jamani naombeni msaada nifanye nini me
  7. A

    MSAADA WA ADA KATIKA CHUO CHA KAMPALA UNIVERCITY (KIUT)

    Naomba kujua ada za chuo cha KIUT katika course hz hapa MD PHAMACY MEDICAL LABOUR
  8. A

    TCU wamefeli kutumia CODES, kinachofanyika ni chuo husika wanapiga simu kwako moja kwa moja kuthibitisha kama waenda chuoni hapo

    Jaman mpaka now sija pata code zozote je nifanye nn ili niweze kupata au mwenye namba za TCU naomba
  9. A

    MSAADA KWA WA MAWAZO KIDOGO

    Hivi haya majina yana yo sambaa mitandaoni mbona kinachoandikwa ni tofauti na kichwa cha habari maana ukifungua link unaambiwa haya ndio majina ya walichaguliwa labla mfano SUA lakini ukifungua unakutana na majina wanatakiwa ku comfirm hadi sasa hivi wanasema vyuo vyote wamesha tangaza majina ya...
  10. A

    MSAADA KWA MNAUJUA SYSTEM YA MWAKA HUU YA VYUONI

    Wote hao ni PCB HGL na HGK baadhi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    MSAADA KWA MNAUJUA SYSTEM YA MWAKA HUU YA VYUONI

    Hamna ndugu ina maana wote wamekosea code katika mfano hapa shuleni kwetu two zipo 18 ila wote wamekosa chuo lakn kwa maajababu 3 ya 13 na 14 baadhi zimepata chuo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    MSAADA KWA MNAUJUA SYSTEM YA MWAKA HUU YA VYUONI

    Jamani mwaka huu walikuwa wanachagua vyuo kwa vigezo gani kwa maana kuna watu kibao wenye Two na One wameachwa kwa mfano kuna dugu yangu ni PCB ana two ya 12 na mwingine TWO ya 11 watu wamekosa nafasi SUA na UDOM wakati kuna wenzao wenye three wamepata tena kwa maajabu wote walijaza course sawa...
  13. A

    Msaaada

    Nasikia SUA wamesha toa majina mbona cyaoni Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    MSAADA WAKUPATA VITABU VYA NGAIZA

    Jaman nina mdogo wangu yupo form 5 PCB anaitaji viatabu vya ngaiza sasa cjui na vipataje mwenyekujua na bei zake naombeni msaafa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    MSAADA

    Naomba msaada nitapata vipi vitabu vya NGAIZA kuna mdogo wangu yupo shule anataka Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom