Recent content by allyboy

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hizi nafasi za Nbc na zakweli

    Jaman ndugu zangu hizo habr zilizosambazwa nizakwel mm mwnywe binafsi niilishaitw kweny interview week ilopita siku ya ijumaa na tukafany mtihan mtihan apo wa dakika 45 weny maswali 20 kisha wakasem twende HR Atatupigia sim bt mpk nw tumekaa tunasubiria.....ushaur interview ilishaisha toka zamn...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu: Anzeni na waliyosoma shule za Serikali kwanza

    Mm nimeapply degree mwaka huu lkn status yang yamkopo inaonyesha loan was not allocated yan nimechanganyikiw hap nilipo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waanza kubeba mabegi kurudi kwao baada ya kukosa mikopo

    Kama walikua hawataki kutoa mkopo kwa wasosoma masomo ya science si wangesem tusiapply olams watu tumelipia fedha kuomba mkopo fedha wamebeba mwisho wanasem hawatoi mkopo aaaghh
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waanza kubeba mabegi kurudi kwao baada ya kukosa mikopo

    Unaongea nn ww jamaa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waanza kubeba mabegi kurudi kwao baada ya kukosa mikopo

    Jaman anayoyaongea brother apo nikwel kabc,mm hp nimeomba batchelor degree huu mwaka selection zavyuo kwnz zimetok kwakusua sua mpka now nimepigiw sim naambiw walochaguliw kupew mikopo ni watu kam 2500 tyu kat ya wat 87000. Na nimeingia katk account kuanglia allocation ya loan ndohicho hicho...
Back
Top Bottom