Recent content by Allybalowab

  1. A

    JamiiForums Tanzania Spika yupo hospitali muda mrefu, Katiba inasemaje kuhusu hilo?

    Kwahiyo hauto lia
  2. A

    JamiiForums Tanzania Spika yupo hospitali muda mrefu, Katiba inasemaje kuhusu hilo?

    Hatari mungu ampende zaidi? Nimecheka sana
  3. A

    JamiiForums Tanzania Rais ajae atakuja kubadili uendeshaji wa ATCL ila kwa sasa litabebwa kwa nguvu zote

    Nikweli tunaoweza kuisaidia nchi tupopembeni
  4. A

    JamiiForums Tanzania Rais ajae atakuja kubadili uendeshaji wa ATCL ila kwa sasa litabebwa kwa nguvu zote

    Hashim rungwe aliwahikusema yeye tukimchagua angetupa shibe watu wakajuwa wataletewa masahani yawali au kupanga foleni kupokea fedha tukitengeneza kilimo mikoa mingi niwazi lazima tushibe chakula kitakua kingi kilakitu kitashuka lazima tutashiba nataka kuona nchinzima umwagiliaji unashamiri...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Rais ajae atakuja kubadili uendeshaji wa ATCL ila kwa sasa litabebwa kwa nguvu zote

    Hivi hakuna uwezekano tungewabembeleza wakanada tuwarudishie watupe pesa yetu au tuwape kazi ya mtandao wa umwagiliaji nchi nzima matokeo yake ingekuwa makubwa namna hii hatutofanikiwa haraka kama taifa tunatakiwa ingetungwa sheria kama mtu unataka gombea urais Tanzania unatakiwa utaje vitu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Rais ajae atakuja kubadili uendeshaji wa ATCL ila kwa sasa litabebwa kwa nguvu zote

    Mimi ningeuza hayo mandege yote nikasukuma kwenye reli, umwagiliaji na maji ya matumizi majumbani na kwa sasa nikama tunaumwa kichwa tunatibiwa miguu
  7. A

    JamiiForums Tanzania JNIA, DAR: Rais Magufuli katika uzinduzi wa mradi wa rada na mapokezi ya ndege mpya ya ATCL

    Nakwambia nihatari tunaumwa kichwa tunatibiwa miguu tunataka reli ,umwagiliaji na maji yamatumizi nyumbani kwa haraka tunaletewa ndege
  8. A

    JamiiForums Tanzania JNIA, DAR: Rais Magufuli katika uzinduzi wa mradi wa rada na mapokezi ya ndege mpya ya ATCL

    Miaka inaenda taratibu sana tumefikia hatua mtu anaumwa kichwa unapasua mguu hii ni hatari napenda tupate daktari ambae atajuwa naumwa kichwa atadili nakichwa hata kama iposiku mguu utauma lakini kwasasa mguu nisalama tatizo letu kubwa ni reli ndio uti wamgongo pamoja na kilimo cha umwagiliaji...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa kifo cha Kighoma Ally Malima ni upi?

    Kikubwa jibu unalo hata wewe pambana na hali yako
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa BAKWATA kufanyikia ktk Ukumbi wa Bunge ni ghiriba za watawala kuwagawa wananchi?

    Watu tunacho sikitika taasisi kama hii iliyojipa majukumu nihudumia Mimi muislam ikitumika kama bunzi la mahindi ambalo huanza kabla baadae hutupwa nakuchukua punje nakuzihifadhi lenyewe bunzi wakilionea huruma wanalichoma
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa BAKWATA kufanyikia ktk Ukumbi wa Bunge ni ghiriba za watawala kuwagawa wananchi?

    Nasikitika sana bakwata ambayo inashindwa ielekee wapi ili iaminike kwa waumini wala haitakiwi bakwata iungane na matamko yahizo imani au mazehebu mengine kwani bakwata inajuwa jamii inayopaswa kuingoza inamatatizo gani niwakati sasa kutumia muda huu kumaliza matatizo yanayo isumbua jamii hii...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

    Sio upinzani unahali sema democrasi inahali ngumu watu wameshindwa kuistawisha
  13. A

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Ni hatari kwa Kanisa kutoa kauli inayosababisha maumivu na mifarakano badala ya kuponya

    Maprof waina hii ndio maana nchi imeshindwa kupiga hatua anaangalia tulipo angukia wakati alitakiwa kuangalia tulipo jikwaa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wamarekani waliponikamata waliniibia saa yangu.Sadam Hussein

    Imani yake haimruhusu kujiuwa
  15. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, washawishi Waisraeli wachukue uraia wa Tanzania wote wanaotaka wapewe uraia ndani ya siku saba

    We we huna uwezo wa kuwameza wanyarwanda ulisha zaa namnyarwanda? Ukaona mtoto anaepatikana?
Back
Top Bottom