Recent content by ally wa leo

  1. A

    CCM Lowassa kawaachia chama chenu, mbona mnakesha kumsema? Mwacheni

    Lowassa mwenyewe kaondoka CCM mbona anaendelea kubwata na kulalamika?
  2. A

    Dr. Ndalichako anaonesha njia, tumuunge mkono

    Hakika umenena mkuu, anayempinga Prof. Ndalichako ana lake jambo
  3. A

    Joseph Mbilinyi (Sugu) amtaka Rais Magufuli asafiri Nje ya Nchi ajifunze kwa wenzake

    Sasa ndugu zangu, Rais hata miezi 6 hajamaliza mnaanza kulaumu hasafiri nje! Ya ndani hayajakaa sawa mntaka aende nje ili iweje? Kwani mikutano imekwisha? Acheni kukosoa kila jambo, hiyo sio maana ya UPINZANI.
  4. A

    Kazi kikosi cha zima moto

    Wekeni mambo hadharan.
Back
Top Bottom