Recent content by Ally mvano

  1. A

    Jamani Tujuzane Hali Ya Jimbo La Kigoma Mjini

    Zito huku ni mshindi wa tatu
  2. A

    Naibu Meya wa Manispaa ya Kigoma ajiunga rasmi ACT-Wazalendo

    Yule mwizi sugu kaondoka Chadema 👏👏👏
  3. A

    CHADEMA yaaibika Kigoma

    Masikin act baada ya kushindwa fitna sasa mmeanza uzushi😄😄😄😄
  4. A

    Hakuna anayeitwa bundi katua CHADEMA Kigoma: Ukweli kuhusu Ally Kisala

    Wasaliti wafuasi wa chama kipya leo wamepata aibu baada ya Mh Ally Kisala kuhudhuria kwenye mkutano wa hadhara Kata ya kasimbu na kukanusha uvumi wa kufukuzwa uenyekiti wa Mkoa wa Chadema mkoani kigoma.picha👇👇
  5. A

    Bundi atua tena CHADEMA: Ally Kisala ang'olewa madarakani kwa tuhuma za usaliti

    Muongo sana wewe kesho ally kisala atakuwa na mkutano kata ya kasimbu hakika waliozoea kuishi Kwa uongo hawawezi kuacha usaliti
  6. A

    Zitto Kabwe amekataa katakata kurudisha diplomatic passport licha ya yeye kuacha ubunge

    Mbunge wa zamani wa k/Kasikazini amekataa katukatu kurudisha hati ya kidiplomasia ya kusafiria licha ya sheria kumtaka afanye hivyo Je huu Ndio uzalendo?
  7. A

    Zitto kutogombea Kigoma Mjini

    Anagombea kahama
  8. A

    Kigoma: Katibu wa Wilaya ACT na Katibu Mwenezi wachapana makonde

    . Kisa nikwamba kuna MTU anaitwa fowad anagombea udiwani kata ya kacmbu. Pia kuna MTU mwingine anaitwa JUMA Issack nae ANATAKA sasa viongozi hawa wamegawanyika. KATIBU WA wilaya ANATAKA ziwepo kura za maoni. KIBERA hataki kura za maoni ANATAKA fowad apite bila kupingwa hapo ndipo shabuka...
  9. A

    Zitto kutogombea Kigoma Mjini

    Hayo yametangazwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa chama hicho Ndugu Jafari Kasisiko katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Mjini hapo na kuahidi kuleta jina la mgombea wao siku chache mbeleni
  10. A

    Kigoma: Katibu wa Wilaya ACT na Katibu Mwenezi wachapana makonde

    Katika hali ya sintofaham Katibu wa Wilaya wa act Kigoma town wamechapana makonde na Katibu mwenezi Ndugu anzuruni kibera katika ofisi Za chama hiko iliyopo ujiji Kigoma mpaka tunaondoka eneo la tukio sababu ya ugonvi huo haijajulikana
  11. A

    Danieli Rumenyela Wakili Msomi na Mbunge mtarajiwa Kigoma Mjini

    Wanakigoma wamekataa mwaka huu wa 2015 kuchagua wabunge ambao ni wakazi wa Daresalama kwani wanakuwa mbali na wananchi na si rahisi kushuhulikia kero zao,Rumenyela anawakimbiza Ccm na Act Kigoma
  12. A

    Chama cha Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT) Chasajiliwa

    Nauliza tu utitiri wa vyema umekithiri Tanzania tupeni majibu wakuu
  13. A

    CHADEMA Kigoma kaskazini wamefanya yao

    Mkutano wa Chadema K/Kaskazini umefana sana katika kijiji cha nyarubanda maelfu ya wakazi wamefika kumsikiliza Dr. Yeredi kubusa Kamanda na Mbunge mtarajiwa Kigoma Kaskazini hongera Dr Kwa speech NZURI na ya kisomi Ni matumain yangu hamtamuangusha
Back
Top Bottom