Recent content by Ally Migeyo

  1. Ally Migeyo

    JamiiForums Tanzania Alli Migeyo, Mtanzania wa kwanza kupigwa bomu

    Kaka nashida sana na hicho kitabu au nakala yake. Naomba tuwasiliane 0769 717 488
  2. Ally Migeyo

    JamiiForums Tanzania Alli Migeyo, Mtanzania wa kwanza kupigwa bomu

    Kupitia Jitihada za Mh. Rais JPM nina amini Historia za hawa watu zitakumbukwa kwa ngazi yakitaifa kwani ndo wametufanya leo tuishi kwa amani na upendo.
  3. Ally Migeyo

    JamiiForums Tanzania Kilio cha mjane wa Ali Migeyo

    Ni miongoni mwa viongozi wanaostahili heshima yakipekee kwa yale walioyafanya dhidi ya Taifa letu.
  4. Ally Migeyo

    JamiiForums Tanzania Alli Migeyo, Mtanzania wa kwanza kupigwa bomu

    Iwe wamesahaulika kwa Njia yoyote ile Sisi kama Vijana na Taifa kwa ujumla lazima tuenzi ushujaa wao, uzalendo wao walikuwa tayari kwa lolote na walitanguliza maslahi ya Taifa mbele ndo maana wengi wao familia zao zinamaisha ya hali ya chini kabisa tofauti na baadhi ya viongozi wa sasa miaka...
  5. Ally Migeyo

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Point yako ni ipi mkuu???
  6. Ally Migeyo

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Hakuna mabadiliko mepesi usipotaka kwendana na kasi ya mabadiliko lazima utaona kila kitu unaonewa, Tumpe muda kwani alipotutoa ni pabaya mno kuliko alipotufikisha, Tunatakiwa kumuunga mkono kwa sababu anapambana sana kwa maslahi ya Taifa letu.
Back
Top Bottom