Recent content by Ally Kombo

  1. Ally Kombo

    JamiiForums Tanzania Kuna mazingira yanafanya iwe halali kuondoa uongozi uliopo madarakani kwa nguvu bila uchaguzi

    JF kuna wapumbavu hivi na bado wanalelelwa ?!
  2. Ally Kombo

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa Yusuf Manji baada ya kusota rumande wiki kadhaa

    Deal zake zote serikalini na manispaa ! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ally Kombo

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    Lissu anamnyang'anya nafasi yake huku, oooh'hoo !
  4. Ally Kombo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Halima Mdee ametuthibitishia kuwa PhD's walizonazo Watanzania baadhi ni za hovyo kabisa!

    Naona mwenyekiti wenu ana phd ya kutongoza, ukisikiliza ile clip ya sepenga ....daah ! Ukilinganisha na heshima aliyotoa waziri mkuu mstaafu...
  5. Ally Kombo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Halima Mdee ametuthibitishia kuwa PhD's walizonazo Watanzania baadhi ni za hovyo kabisa!

    Minister for 20 yrs in serious dockets, currently running the show ! ...ingekuwa JF watu wanalipia post, kusingeandikwa upuuzi
  6. Ally Kombo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Halima Mdee ametuthibitishia kuwa PhD's walizonazo Watanzania baadhi ni za hovyo kabisa!

    Kushinda kutwa una post JF uzi kadhaa, hata kama hazina mantiki, pia ni PhD ya hali ya juu ! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Ally Kombo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Halima Mdee ametuthibitishia kuwa PhD's walizonazo Watanzania baadhi ni za hovyo kabisa!

    Hawa ni wakupima mkojo kwa nguvuu !
  8. Ally Kombo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Halima Mdee ametuthibitishia kuwa PhD's walizonazo Watanzania baadhi ni za hovyo kabisa!

    Aiseeh....wewe una akili kuliko hiyo dawa iliyoleta huu uzi na mdee wake !
  9. Ally Kombo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Halima Mdee ametuthibitishia kuwa PhD's walizonazo Watanzania baadhi ni za hovyo kabisa!

    Angekua nayo Lissu tu, ingekuwa ya maana !
  10. Ally Kombo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Halima Mdee ametuthibitishia kuwa PhD's walizonazo Watanzania baadhi ni za hovyo kabisa!

    Kuweka gia ya rivasi angani ile pia ni akili kubwaa !? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ally Kombo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Halima Mdee ametuthibitishia kuwa PhD's walizonazo Watanzania baadhi ni za hovyo kabisa!

    Waliliona hilo kwenye mkojo ! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ally Kombo

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya ya Askofu Gwajima aina ya Gulfstream N60983 (Business jet)

    Wewe unalipwa nini humu !?....siku hizi mmepunguza nongwa
Back
Top Bottom