Recent content by Ally Baudouin

  1. Ally Baudouin

    JamiiForums Uhakika wa uhusiano upo katika test

    AsanteNashukuru Tunayo Page iitwayo " Ally Baudouin " Nakuomba ulitafute hapa Facebook halafu ujiunge Ili usipitwe na masomo yetu. Bofya Link [emoji116][emoji116][emoji116] https://www.facebook.com/Ally-Baudouin-107693031090635/
  2. Ally Baudouin

    JamiiForums Nguvu ya Mawasiliano

    Kuna nguvu katika mazungumzo, ikumbukwe kuwa: [emoji3578] Mnara wa babeli ulistishwa kisa kukosa kuelewana katika mawasiliano [emoji3578] Ulimwengu uliumbwa katika mawasiliano Hivyo maisha ya kibubu-bubu uharibu, jitoe sana kwa muda wa kutosha ili kujenga mawasiliano. Huwezi kuwa na...
  3. Ally Baudouin

    JamiiForums Watakukumbukia kwa lipi usipokuwepo?

    [emoji3478] Na Mjenzi Ally Baudouin Mwalimu wa Kizazi Kipya Cha Kristo _____________________________________ Basi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa (habari za Lazaro) __ Yohana 11:21 Namna unavyoishi nao ndio style pekee itakayowafanya wakukumbuke...
  4. Ally Baudouin

    JamiiForums Uhakika wa uhusiano upo katika test

    Siku moja watumbue ili waropoke yote ya moyoni mwao Jifanye kumkosea ili uone reaction yake ni ya namna gani dhidi yako, Mfano "Kaka, nina mimba yako" ni namna gani atakujibu. Mitiani midogo midogo ni muhimu maana utabaini adhina ilofichama "Boss naomba likizo japo ya siku moja" pima kijiti...
Back
Top Bottom