Recent content by ally aziz

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nijuzwe sheria ya usalama barabarani ikoje katika hili

    inchi kama oman wanalipa faine kwa mwaka.ukitenda kosa wanarekodi kuanzia mwezi wa kwanza hadi mwisho wa mwaka wanakujumulishia makosa yote hata kama ni milioni 10 utazilipa wakata wa kurinuu mfano motor vehicle,Tlb,transit lisence.Umeona?kukamatwa unakamatwa ila hela no kutoa.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Maduka yote ya dawa nje ya hospitali za Serikali marufuku

    wizi kama upo hata ukiyaweka maduka chalinze,dawa zitaibiwa tu.kinacho takiwa ni kwamba watendaji wakuu warizike na kile wanachokipata tkt ajira zao.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Maduka yote ya dawa nje ya hospitali za Serikali marufuku

    Hivi mbona kuna wengine wana agiza madawa India wenyewe?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini ngono ni dhambi?

    utamu umezidi
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, naenda UK

    watafute vigogo wanauzoefu wa kusafiri
  6. A

    JamiiForums Tanzania Comparison between Kenya and Tanzania (Tofauti kati ya Kenya na Tanzania)

    Saaii-Sasa hivi sikiza-Sikiliza Ebu kuja-Njoo kipande-kipapatio kenya-Tanzania
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nimemuagiza gari kaingia mitini, zawadi Tshs milioni 2 kwa atayefanikisha kupatikana

    mbona hayo ma r4 yamejaa tele Dar?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nimemuagiza gari kaingia mitini, zawadi Tshs milioni 2 kwa atayefanikisha kupatikana

    Yani akili hamnazo hivi bado watu waagiza magari Japan wakati mashorumu yamejaa kila sehem?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasomi wa Tanzania wana tofauti kubwa sana na wasomi wa Kenya?

    Labda jaribu kuwakutanisha.Sawa bahna mzee?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Comparison between Kenya and Tanzania (Tofauti kati ya Kenya na Tanzania)

    Adis ababa lipo kericho Govinda Sing.Sawa?
  11. A

    JamiiForums Tanzania Joti na nafasi za wanawake katika matangazo, Je ni upungufu wa wanawake?

    hili tangazo lingefutwa kabisa.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Joti na nafasi za wanawake katika matangazo, Je ni upungufu wa wanawake?

    Ni kama vile ushoga.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Joti na nafasi za wanawake katika matangazo, Je ni upungufu wa wanawake?

    wewe mwanaume ujibadili kuwa mwanamke unjifikiriaje?Anawanyima haki zao wanawake.
Back
Top Bottom