Recent content by Allen ICT

  1. A

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

    Watu wanadhani hii kazi yako ni rahisi, waambie na wao wajaribu kuwa chawa waone kama wataweza
  2. A

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

    Ila uchawa siyo kazi rahisi kama watu wanavyochukulia
  3. A

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

    Hahaha, ila Tanzania wananchi wake ni watu wa hovyo sana. Mtu yuko radhi kuvua akili zake ile mradi tu anapewa buku 7
Back
Top Bottom