Recent content by Allen E pyuza

  1. A

    Kwa watu waliosoma chuo cha kodi ITA Msaada hapa

    kama kuna mtu aliyewahi kufanya atitude test(mitihani ya kujiandaa kuingia hapo chuoni) iko vipi i mean wanauliza maswali yapi??
  2. A

    Naanza kuchukia mapenzi

    Nipo A-level now kwan mapenzi yana udogo na ukubwa ww???
  3. A

    Naanza kuchukia mapenzi

    shukran sana aisee kwa michango yenu ila hiyo ya pu.......sijaiafiki hata kidogo.
  4. A

    Msaada kwangu je nina vigezo vyovyote?

    dah jaamaa hata hunionei huruma?
  5. A

    Msaada kwangu je nina vigezo vyovyote?

    ahsante nashukuru ndugu je chuo cha serikali naweza kupata cha sayansi?
  6. A

    Naanza kuchukia mapenzi

    mpenzi wangu ananiambia tuachane bila sababu na sijawahi hata kumwambia swala la kufanya mapenzi lakini basi tuu ananiambia tuachane bila kosa lolote nifanyeje maana nahisi kuchukia mapenzi
  7. A

    Msaada:IPI COURSE NZURI/YENYE MASLAHI KATI YA HIZI MBILI

    hata computer engineering iko poa maana ukichukua coz ya programing soko liko vizuri
  8. A

    Msaada kwangu je nina vigezo vyovyote?

    Jaman mnisaidie maana Form 4 div I ya point 13 lakin form six nimefeli sasa kwa kutumia matokeo ya form 4 ntaenda chuo gani? ALLAN E PYUZA Matokeo yangu ni civ-C,hist-C, kisw-B,Geo-C,Engl-A ,Phy-A,Chem-B,Bios-C,Math-A
Back
Top Bottom