Recent content by ALLAN MMBANDO

  1. A

    Mwenyekiti wa CHADEMA, wabunge Lissu, Msigwa, Sugu, Silinde washikiliwa polisi Iringa!

    hiz nguvu wanazo weka ilikuisumbua chadema wangezikita katika kuzuia ujangili na uuzaji wa madawa ya kulevya mbona Tz ingekua kama ulaya!!!
  2. A

    MUHIMU: Tuma maoni yako ya Rasimu ya Katiba Mpya, Mabaraza ya CHADEMA

    moja kwa moja naanza na nafasi ya RAIS katika rasimu ya katiba mpya RAIS kawekewa kinga kwa maoni yagu kinga dhidi ya rais ingeondolewa ili awemakini na anavyoongoza nchi akijua ya kwamba akifanya madudu atakuja shtakiwa 2),swala la serikali tatu halina tija kwa maana itakua ndio chanjo cha...
  3. A

    Confirmed: Tcu selection

    Afadhali coz nayangoja kwa ham kwel
Back
Top Bottom