Recent content by Allan Joh

  1. Allan Joh

    Viongozi wa makanisa msitufukuze kanisani

    Legeza ubongo af soma tena uelewe...
  2. Allan Joh

    Viongozi wa makanisa msitufukuze kanisani

    Ndo mana wakina mwamposa wana takeover Tulioaminishwa ni watu sahihi wana tuvuna
  3. Allan Joh

    Viongozi wa makanisa msitufukuze kanisani

    kama mafundisho mtoto kashapewa issue ya kupata icho kipaimara atapewa na Mungu na hakuna ela ya kuwapa Nilimjibu hivyo dada angu uku roho inaniuma sana
  4. Allan Joh

    Viongozi wa makanisa msitufukuze kanisani

    Nilichotaka kusema nimesha kisema,,, Kuusu utakapo kula si kazi yangu kukuelekeza
  5. Allan Joh

    Viongozi wa makanisa msitufukuze kanisani

    Dada yangu ni mama wa watoto wawili ambao hawapokei huduma yoyote kwa baba licha ya baba kuwa mtumish wa serikali na kipato kizur tu. Kama mjomba yapo majukumu niliyoamua kuyabebea kwani dada yangu hana kipato cha kumfanya aweze waendeleza watoto wake. Mtoto wa kwanza wa dada angu anategemea...
  6. Allan Joh

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    anza kwa kufuta ule ujinga awavumi lakin wamo.. ndo ntajua mnaskilza af niwashauli kukwepa u-kada
  7. Allan Joh

    Kila nikinywa Pombe nakuwa na Hasira sana, pia mawazo ya kulipiza visasi mbalimbali yananitawala.

    Tumia buku buku zako uchape kaz,,,uo upande wa hasira unaoneka unauwezo wa kuji-control
Back
Top Bottom