Recent content by Allah’s Slave

  1. Allah’s Slave

    JamiiForums Tanzania The English of the Tanzanian President Magufuli

    "Poleni sana waabudu kiingereza!." Ni aibu kwa walio ndani ya utumwa wa lugha ya nchi za kimagharibi tu hasa kiingereza. Kwa mzalendo kama mimi ninaependa kiswahili kikue kimataifa najihisi faraja sana!. Tena, ningelikua mshauri wa JPM ningelimshauri atumie zaidi kiswahili kimataifa hasa pale...
  2. Allah’s Slave

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Shekhe Yahaya akiongelea Majini

    Usipojishughulisha kusoma vitabu na kuitambua dini yako ndo matokeo yake unaanza kuamini washirikina kama hao!
Back
Top Bottom