“Mimi nina dini yangu mwenyewe, na siwezi kuiacha. Isitoshe, dini si hoja, kwa kuwa dini zote zinaelekeza watu kwa Mungu yuleyule.”
JE, UMEWAHI kumsikia mtu akisema hivyo? Watu wengi wanaamini kwamba dini yoyote inaweza kumsaidia mtu kumjua Mungu na kuelewa maana ya maisha. Vivyo hivyo, wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.