1. Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake..
2. Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake...
3. Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona mabaya kwa watu waliokuwa...
Ukristo na Uyahudi ni vitu viwili tofauti, ingawa zina uhusiano wa kihistoria na kidini. Hizi hapa ni tofauti kuu kati ya dini hizi mbili:
1. Imani katika Yesu: Tofauti muhimu zaidi kati ya Ukristo na Uyahudi ni imani kwa Yesu Kristo. Wakristo wanaamini kwamba Yesu ni Masihi na Mwana wa Mungu...
Mimi nitaondoa "UJINGA"
Kwasababu...
Nilikuwa nikifikiria jibu la hili swali, ghafra akili yangu ilikumbana na haya mambo manne.
Umasikini, vita, njaa, na kifo.
Na nilikuwa nikifikiria kuondoa mojawapo ya hayo.
Nilitambua kuwa dunia haitawahi kweli kuwa huru kutokana na matatizo hayo manne...
1. Hakuna mtu ambaye yuko bize muda wote. Inategemea tu uko nafasi gani kwenye orodha ya vipaumbele vyako.
2. Amini usiamini, unaweza kuwa na chochote unachotaka, uwezo wako hauna kikomo.
3. Kila mtu anajaribu kupata mtu sahihi lakini hakuna anayejitahidi kuwa mtu sahihi.
4. Pesa ni namba na...
Matatizo yapo na ndio hizo tunazoita changamoto za maisha na bila hizo huwezi kuwa na morality ya kujituma na kutafuta pesa kwa bidii, ila furaha ndio mwarobaini wa kutatua hizo chamoto kwanza utakuwa na confidence pia utaepusha depression, na kujituma zaidi kupambania maisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.