Recent content by aliyah

  1. A

    Wanasiasa na wanahabari shikamaneni;adui yenu ni mmoja!

    Suala hili linanisikitisha sana kumteka mtu yoyote yule kumtesa kiasi kile jamani utu wetu na umoja wetu uko wapi? tatizo hapa ni nini? ipo haja ya kuchunguza mambo haya na kuja na hoja tena zenye mashiko na sio kwa masilahi binafsi nasema hivyo hasa kwa kukumbuka tukio la kuuawa kinyama...
  2. A

    Digirii haitunzi mume

    wanawake wengi wasomi wasumbufu sana maana elimu yao wanaitumie vibaya na ndio maana wengi wao hawaolewi na hata akiolewa ndoa yao haiwezi kudumu kweli kabisa digree haitunzi mume
Back
Top Bottom