Recent content by aliya

  1. aliya

    Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

    Yaani huo ndo utafiti wako! Usikurupuke soma Tena kabla hujatuma, yaani umechukua sample English medium tu afu ukatoa conclusion pamoja na Swahili medium pia! Kule msingi Kila mwalimu ni mahiri kwenye somo Fulani kama sekondari tu ila kutokana na uhaba wa walimu kulingana na wanafunzi ndio maana...
  2. aliya

    Changamoto ya ulevi: Jinsi inavyoumiza familia na jamii

    Kumbe blog ya walokoleeee!
  3. aliya

    Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

    Kwani huwezi kuongea kama msomi mbn unabweka2 tu Sasa elimu ya cheti inahusiana Nini , watu wenyewe ndo mliopata digrii baada ya matokeo yenu mli standize Yale ya form four, nenda kakalie ww kiti kile tuone utumbo wako!
  4. aliya

    Polisi hawaruhusiwi kuchukua kesi za kudaiana hela

    Utata upo kwenye hiyo mikataba au makubaliano, mnakopeshana vichochoroni mnataka public iwasaidie kwani kabla ya apo hamkuwaona hao, mtoa mada Yuko sahihi pia anawakumbusha wakopeshaji kuwa makini sana na aina binadamu ni wajanja sana hasa wakiwa na lao jambo, Sheria ipo pande zote hakuna huruma...
  5. aliya

    Deus Seif na Abubakari Alawi waliokuwa viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania waigaragaza Serikali Mahakamani

    Mwandishi yupo kwenye kampeni Ili nae atuingize kwenye mtego huohuo, Cwt ni chombo Cha wapiga Dili tu, ukitaka na ww kachukue zako Kaa kimya!
  6. aliya

    Adhabu kwa watoto

    Kaulize shuleni, walimu ndo wanamajibu
  7. aliya

    Ufisadi Tandahimba

    Hakuna mkanganyiko ila viongozi wa Halmashauri hii wako hovyo hata kwenye upandishaji vyeo wanaroho za korosho kama mkoa wao ulivyo maarufu kwa korosho. Kwanza walisema tatizo lipo kwa dt, Sasa huyo waliemsingizia amepitisha malipo kumbe Wana orodha Yao, huo ni ubinafsi na ufisadi mkubwa!
  8. aliya

    Ufisadi Tandahimba

    Malipo ya nauli wamewalipa wachache eti ela wameingiziwa kidogo Toka serikali kuu,naomba waziri mwenye dhamana toka TAMISEMI kama umeona hili uje utolee ufafanuzi haya yanafanyika Halmashauri ya Tandahimba mkoa wa Mtwara. Kama ni kweli toa majibu maaana uku Kuna vurugu za hatari kati ya...
  9. aliya

    DOKEZO Malipo ya nauli za watumishi kubadilishwa matumizi Tandahimba

    Habari! Napenda nielekee Moja kwa Moja kwenye mada husika! Kuna baadhi ya halmashauri viongozi wake ni warasimu sana kitu ambacho kinashusha ari ya ufanyaji kazi kwa watumishi, mfano serikali inatoa pesa kwaajili ya nauli kwa watumishi wake ila zikifika kwenye halmashauri wanabadilisha...
  10. aliya

    Adhabu mbadala wa viboko kwa watoto na wanafunzi wetu

    Hayo mawazo potofu! Nilijua umekujana suluhisho kumbe na wewe una hamu na viboko tu!
  11. aliya

    Tupia moja ya Mbinu wanayoitumia hasa Wake / Mademu za Watu wakijua Kesho wanaenda 'Kukusaliti' na Mwanaume Mwenzako....

    Ishi na mwanamke kwa akili, maana Kama huna akili achana nao, kuna makaburi hata ya wasiooa, moja ya mbinu ya kuishi nao Ni kuwapuzia tu ataenda atarudi akinogewa uko mtunuku cheti ( talaka)! Tunamambo mengi yanayotusumbua hasa tozo! Hao Serengeti achana nao Kwanza!
  12. aliya

    Hii hali ni ushamba,ushirikiano au elimu?

    Hatawezi kuwa sawa, Kila mahali kuna utaratibu wake! Kwenye haya maisha jifunze kufurahia na kujifunza kitu kutoka desturi na Mila za jamii mbalimbali! Elimu ingekuwa ndo kujitambua tusingekuwa na viongozi wa hovyo Kama wa awamu ya tano na awamu ya sita!
  13. aliya

    It will take hundreds of years for Tanzania to get a president like Magufuli

    Mbona unatukumbushia watu wa hovyo ndugu yangu, na ndo aliyeacha uozo unaochafua Hali ya hewa leo! Kikubwa tuangalie ajaye 2025, umasikini wetu wa akili Ni kusema ccm inapita tu, ishu sio kupita inampitisha Nani?
  14. aliya

    Mliokaririshwa uongo kuwa mishahara ya walimu ni midogo kuliko watumishi wengine wa serikali, nawaanikia hapa

    Usiwalazimishe wakuelewe waache na ujinga wao pia hao wasichana wanaowakataa walimu achana nao, mtu sahihi huja kwa wakati sahihi pasi kuangalia kipato,dini,rangi au jamii Fulani! Ila ukipata mwalimu anaejitambua hasa wa kike utaenjoy maisha ya ndoa Kama uko Edeni! Yote kwa yote walimu Ni walezi...
  15. aliya

    Gap la kukosekana Walimu wengi kwenye zoezi la sensa limeonekana, Serikali mjifunze speed ndogo

    Acheni kukosoa Kila kitu Cha serikali mbn mfumo uko pw! Pia tusiishi kwa mazoea kuhusu ufanisi upo wa kutosha mafunzo wiki tatu kasoro si mchezo wameiva! Kama yatatokea mapungufu hayo ya ubinadamu!!!
Back
Top Bottom