Recent content by Align

  1. A

    Miaka yangu 10 ya kuwa member wa JamiiForums

    kwahiyo Loose Nut umemsahau
  2. A

    Kwanini dini inauzika sana Kwa wanawake? Maana ndio wahanga wakubwa wa Dini

    Sawa kwa kusema kuwa wanawake wanatumia hisia zaidi kuliko akili na logic, je hizo akili au logic ambazo sisi wanaume tunatumia zaidi kuliko wanawake, ambazo wewe kwa upande wako umesema umezitumia na kuona kuwa dini ni uongo, je zinatoka wapi au chanzo chake wapi?
  3. A

    Nimekaa nimeitafakari sana ile picha ya sayari yetu Dunia iliyopigwa na NASA imenifunza mengi

    Ndiyo maana Mungu anasema usiogope Yakobo uliye mdudu, yani Mungu anatuona sisi ni dhaifu kwake kama wadudu tu, sema tuna kiburi tu ambacho hakina maana yoyote
  4. A

    Wana theolojia naomba ufafanuzi kati ya Yesu na Paulo nani mwenye final devine rights zaidi?

    huyu lengo lake huwa nini, anadhani wakristo ni simple hivyo kichwani awakengeushe, yani anachukua mistari ya Biblia na kuisoma kama anasoma "CIVICS" halafu anafanya conclusion, mada nyingiii halafu hazina impact yoyote, kwa nini asikubali tu ampokee Yesu yaishe, Yesu ni yeye yule jana leo hata...
  5. A

    Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

    hapo juu umemwita Kiranga na Infro, we upo upande gani? unaamini uwepo wa Mungu au hapana
  6. A

    Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

    binadamu wa kwanza alizaliwa na nani?
  7. A

    Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

    hapo sawa, lakini je chombo kilichoumbwa na mfinyanzi kinaweza kumwambia mfinyanzi wake kwamba hapa umekosea kuniumba, ilitakiwa hivi, je kilikuwepo wakati kinaumbwa? Kinajua kanuni zipi na mahitaji yapi vilitumika kukiumba? Chukulia hiki kitu ndo cha kwanza kuumbwa na hakina reference nyingine...
  8. A

    Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

    je, mkuu hata watoto wako umewakataza wasiamini uwepo wa Mungu?
  9. A

    Vijana wa kitanzania tunazingua mtu anataka mkopo au scholarship halafu vigezo hajatimiza akikosa anaishia kulalamika

    Pamoja na mambo mengine, ni kweli mkuu vijana tuzingatie vitu vya muhimu, ni ushauri mzuri, kila mtu atimize wajibu wake kwanza
  10. A

    Wanaouchukia Uislam mnajisumbua Farao mwenyewe yalimshinda

    duu noma kwa hiyo kiongozi akisema takbir maana yake chinjeniii
  11. A

    Wanaouchukia Uislam mnajisumbua Farao mwenyewe yalimshinda

    ivi mkuu takbir maana yake nini?
  12. A

    Wakati wa Ramadhan na Kwaresma watu wanaongezeka au wanapungua uzito?

    kwa hiyo na wewe wakili wa shetani unafunga? Mission yako inakuwa nini "kama wakili wa shetani" katika kufunga
Back
Top Bottom