Habari Wana JamiiForums,
Nimekuja hapa nikiomba mawazo yenu, ushauri na msaada ikiwezekana. Katika maisha yangu nimejaribu sana kutafuta kazi sehemu mbali mbali bila mafanikio, na hata nikipata haidumu kabisa inatokea changamoto naikosa, nimekuwa mtu wa kutamani sana na Mimi niweze kuwa na...
Wakuu habari za muda huu jamani. Bado sijachoka kutafuta msaada umu, kwa mwenye uhitaji wa mfanyakazi katika ofisi yake au sehemu yake, Mimi Niko tayari. Maana mpaka sasa bado sijapata sehemu ya kujishikiza nazidi kuhangaika tu Ili nipate tonge la kuendesha siku na watoto. Shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.