Tatizo lowasa
Chadema wametumia miaka 8 kuonyesha kuwa yeye ndio alamA ya udhaifu na ufisadi wa ccm Leo unamchukua dakika za mwisho anakuwa mgombea wao
Dhambi ya kuwasaliti wanamageuzi wa kweli ndio iliyosababisha ccm ipewe kura
Huko nyuma tulizoea mgombea wa ccm ndio alikuwa anakacha midahalo na vyama vya upinzani
Ila kwa mara ya kwanza mgombea wa upinzani anakacha mdahalo
Shame on you mbowe kwa kuuza upinzani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.