Recent content by Alfred Daud Pigangoma

  1. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Orodha ya kwanza ya wanufaika HESLB 2024/2025 yatangazwa

    Hawa jamaa wa bodi ya mikopo miyeyusho sana! Wametangaza kuwa orodha ipo tayari tokea jumamosi tar 28 sasa mbona hadi leo jumatano tar 02 hakuna chochote kilichobadilika kwenye SIPA? au IT department ndio miyeyusho? Mwenye updates iliyokamilika atujuze. Kwani nina vijana wangu watatu...
  2. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa: Mbowe kunitaka nilipe Tsh bilioni 5 ni kuiua siasa na kushuka kisiasa kulikopitiliza

    Peter kulualia hakutamsaidia kitu! Anachotakiwa ni mwendo wa kuomba radhi tu kama alivyofanya wakati akiwa CHADEMA alipomtukana Kinana! Na ndivyo afanye leo kwa kumuomba radhi Mh. Mbowe kwenye kipindi hiki ambacho Peter yupo CCM.
  3. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Uombaji wa mikopo kwenye Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu Tanzania 2024/2025.

    Wadau Salaam, Naomba kuuliza kama unaweza kufanya process ya kuomba mkopo bila ya kuwa na ADMISSION NUMBER kutoka chuo chochote! Kwani hii imetokana na dirisha la mikopo kufikia tamati tarehe 30 August ili hali matokeo ya chaguzi kuanza kutangazwa kuanzia tarehe 03 September na hapo ndipo...
  4. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

    😂😂😂😂😂 Kumbe ni Samia Suluhu Sahan!
  5. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?

    Wapi kasema anataka umakamu wa Rais? Uwe na masikio ya kusikia sio kujitungia maneno ndugu.
  6. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

    Kajipange upya! 😂😂😂😂😂
  7. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maharagwe yanayostawi mwaka mzima.

    Salaam wadau! Nimefanikiwa kukusanya mbegu za maharagwe makubwa yanayostawi mwaka mzima na huwa yanaota kwa kuzunguka kwenye mti (kama ilivyo kwa mazao ya passion) na hutoa maharagwe mengi kila mche wastani wa kilo mbili kwa mvuno mmoja. Naomba mwenye kujua jina lake anihabarishe kwani...
  8. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Ni ile ile uliyotumia mwanzoni wakati wa kujaza taarifa za kuomba mkopo.
  9. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Ni ile uliyopatiwa kutoka RITA inayoishia na -BV ipo kwenye akaunti yako ya RITA uliyotumia kutuma cheti cha kuzaliwa ili kithibitishwe.
  10. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Rudi tu usichoke! Ukishaweka ile verification code ya RITA utaona jina kamili la muhusika limetokea kwa chini hapo ujue tayari unaweza kuendelea na hatua nyingine.
  11. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Sijajua kama kuna room ya kuweka supporting document. Ukisha upload signed appeal form hakuna sehemu ya pili ili uweze kuweka hiyo document. Mie imenitokea hivyo.
  12. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Hakuna barua ya mtendaji inayohitajika kwa sababu huwezi kui upload.
  13. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Hapana unajaza namba zile zinazotolewa na RITA zinaishia na -BV
  14. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Hii hapa mie nilikamilisha kwa kijana wangu.
  15. Alfred Daud Pigangoma

    JamiiForums Tanzania Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Fomu uta download baada ya kujaza ili uweze kuisaini.
Back
Top Bottom