Ni kweli wao co omba omba naafiki na tupaswa kuwaiga kwa kwakweli 95% ya budget ya Kenya inatokana na mapato ya ndani wakati tz 42% tunategemea capitalist countries we r not independent at all
Nashindwa kuelewa kama ilo neno la mpumbavu liliongelewa bungeni huwezi kumshtaki mahakani kuna taratibu za bunge. Mbunge yeyote hawezi kushtakiwa nje ya bunge kama akifanya kosa ndani ya shughuli za bunge iyo ni first defence ya defamation aliyoifanya sugu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.