Recent content by Alfani Waziri

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Nilishawahi kusema wavivu wote maofisini hawamtaki Lowasa maana wanajua shughuli yake hacheki na kima yy kazi kwa kwenda mbele so mnamchukia kwasababu mnataka muendelee kula bata huko maofisini watu wanafanya wanavyotaka tu hakuna wa kuwabana
  2. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa akiwa Rais, Bunge likatawaliwa na wapinzani na wakaibua kashfa ya Richmond; itakuwaje?

    Watu wanamahaba na Lowasa kila kukicha yy tu kweli Lowasa anapendwa sana. Viva Lowasa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mabilioni anayomwaga Lowassa Dodoma, TAKUKURU mko wapi?

    Duh kweli kazi ipo mtu anakurupuka tu ww umeshachota ngapi kama amezimwaga hizo pesa.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti REDET 2015: Lowassa, Dr. Slaa waongoza mbio za Urais

    Naikumbuka kasheshe yake pale DUCE 2006 lecture theatre ilijengwa kwa kasi ya umeme baada ya yy kutoa agizo. Leo maabara zinasuasua tu maagizo yanatolewa watu hawajali na hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi yao. Tunataka mtu mwenye maamuzi tumechoka ss
  5. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti REDET 2015: Lowassa, Dr. Slaa waongoza mbio za Urais

    Wavivu wote maofisini hawapendwi Lowasa maana mnajua shughuli yake hacheki na kima yy kazi kwa kwenda mbele so mnamchukia kwasababu mnataka muendelee kula bata huko maofisini. Nchi haiendi kila mtu ofisini ni mbabe. ss tunamtaka Lowasa aje apambane na mivivu huko ofisini. kipindi kile tu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti REDET 2015: Lowassa, Dr. Slaa waongoza mbio za Urais

    Yah kazi ipo kila kitu kinachomhusu Lowasa wamefunguliwa ndugu kumnunua mtu ni rushwa so kama una ushahidi inabidi ukashtaki TAKUKURU ili wakamatwe hao walionunuliwa REDET usipofanya hivyo mbeya tu huna jipya na wivu ndo unakusumbua kwa kuwa mti nia wako kafunikwa vibaya
  7. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa hawezi kuwarubuni maelfu ya Watanzania muda wote

    Halafu mm nashangaa sana mwaka 2005 kikwete alitupiwa kashfa kibao na wapinzani wake ndani ya chama lkn miaka hii 10 yote ndo president wetu. So fitina kwenye siasa ni kitu cha kawaida. Waliofuatilia uchaguzi wa Nigeria, Kenya wanaelewa fitina walizofanyiwa hawa maraisi wa ss kwa hiyo mm...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aomba radhi kwa kauli yake aliyotoa kuhusu Lowassa

    Hahahaha mtampenda tu muheshimiwa Lowasa. Time will tell
  9. A

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kuwalipia nauli, malazi, chakula na posho wajumbe wa NEC na MM wa CCM

    Huu siyo tu umbeya bali ni upashkuna ambao hakuna mtanzania mwenye akili timamu aweza kukuelewa. Najua wavivu wote wa kazi mnamuogopa sana Lowasa maana mnajua shughuli yake hacheki na kima yy kazi kwa kwenda mbele so mnamchukia kwasababu mnataka muendelee kula bata huko maofisini. Viva Lowasa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa na agenda ya umasikini

    Mm binafsi namkubali sana huyu mtu. ss kama lengo ni tupate viongozi masikini wa kupretend sijui kama tutafika. Maana wengi ni wale wanaotaka nchi iwafanyie jambo siyo wao wataifanyia nn nchi. Ss tumechoka na umaskini kama anakuja tena rais masikini tuendelee kushare umaskini kazi ipo. Lowasa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wakati makada wa CCM waliotangaza nia wakiiteka nchi, Edward Lowassa aongoza kwa kuanguka

    Na mwaka huu mtakufa kabisa kwa pressure maana kila kukicha Lowasa utafikiri yy ndo pekee mtangaza nia Ccm Humjui mnazidi kumpaisha ama kweli nimeamini mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe. Lowasa ni kama Papa baharini hawa wengine vibua tu.
Back
Top Bottom