Recent content by ALEXMOSHA

  1. A

    Kwa wanaume: Ikikuuma potezea tu

    Ira mkuu tatizo riko kwa wanume wa darisarama sijui wamerogwa na nani potii nashindwa kuerewa rabda mlozi wao kafa potii karibu musoma mkoa wa mara kwa wanume wa shoka
  2. A

    Mshituko: Polisi Wamekosea Sana Kushauri Wananchi Wawe Jasiri Kwa Majambazi

    Ha ha haaaa umesimuliwa na nani ndugu ak47 ina magazin ya bullet 40 du usilo lijua usiku wa giza pole ndugu yangu ntumie picha hiyo magazin ya 40 bullet
  3. A

    Nahitaji kufungua bank akaunti

    ndugu zangu naitwa ALEX JOHN MOSHA niko shinyanga sio siri NMB mnakatisha tamaa ATM card yangu ilivunjika nikaomba kutengenezewa nyingine kutoka NELSON MANDELA ikafika shinyanga tawi la manonga bila password nikapewa card yangu sasa ni mwezi wa tatu kila siku napiga mguu manonga branch bila...
Back
Top Bottom