kitu cha msingi nafikiri badala ya kujadili 10 billions tunatakiwa kujua ramani au mchoro wa hiyo hospitali na mchanganuo mzima katika kutekeleza ujenzi hapo ndipo itakua sehemu sahihi ya kutoa maoni yetu badala ya kulaumu pasipo kujua hata ramani ya hiyo hospitali tarajali
habari wana jamvi? napenda kuleta mada hii mbele ya jamvi kwa maana baadhi yetu tumeshindwa kufahamu nini maana ya chuo bora(sifa za chuo bora) wengi wetu tukidhani majengo yanafanya chuo kionekane bora kumbe yapo mengi kiundani hutazamwa na kuhitimisha ubora wa chuo. nawasilisha hoja.
hoja iliopo mezani ni yakutaka kujua mengi kutoka katika shule tajwa hapo juu,aliye andika uzi huu aliona kuna tatizo katika shule tajwa lakin ndugu zangu ipo namna au njia nzuri ya kuchangia uzi huu pasipo mtu kukwazika,naomba niliseme hili kwanza mzazi wangu ni mwalimu ingawa yeye yuko mkoani...
walimu tumekuwa na madai mengi sana serikalini na ambayo mengi yao yamekuwa yakipuuzwa ipo haja ya kuhimizana na kuweka malengo yetu na mahitaji yetu wazi zaidi na kuhakikisha yanatatuliwa bila kupuuzwa,naamin serikali ina uwezo mkubwa wa kuya tatua haya na yakaisha,angalizo cwt sidhani kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.