Mkataba tunaweza uvunja halafu wakatushitaki tukishindwa tutalipa kuliko kuukubari na baada ya hapo wahuska wote ndani,tunatakiwa kua na maamuzi magumu wakati mwingine bila kuoneana aibu,
Mimi nauliza hivi, kwani hizi comments zetu uwafikia wahuska au ni sisi tu tunaojadili na kuishia humu tu naomba kujibiwa Kwa mwenye ufahamu zaidi tafadhari.
Tuwe wakweli tukubari matokeo mara ngapi tunaishi hapo iwe klabu bingwa au kombe la washindi africa kwahiyo tukubari tisiwe sizitaki mbichi hizi baada ya kwishindwa vyote,
Kiukweli wabongo kila mtu sku hizi ni wataalamu wa mpira tuwe wawazi hao jamaa kuwafuga kama tunavyopanga sio rahs kumbuka wako nyumbani na wamehaidiwa manoti haswa sioni tukichomoka ila tunajipa natumain tu ,tuombe Mungu tu basi.
Mpira una matokeo 5 kufunga,kufungwa,sare,sku huska, na bahati.kwahiyo chochote kinawezekana nalikija hili la timu kucheza nje kuweni wamoja uadui wenye uwe kwe darbi tu, hapo mtatoboa maoni yangu.
Haya Mambo bila ushahidi haipendezi ushauli wangu wa bure ukitwa ulete ushahidi na ukakosa uwenda ukaicha familia yako ikitabika kwa maneno ya kuskia vijiweni ,ni mawazo yangu tu,
Mimi nahs tuskatishane tamaa tuwape moyo na hili tufanye kwa timu zote zinapochexa nje kwani mpira una matokeo 3 kumbuka Hilo kushinda sare na kufungwa, kwahiyo yote yanawexekana tusubiri dakika 90 ndo tuongee,yangu ni hayo
Najua humu tupo wengi dini tofauti kuhusu mwezi tumeambiwa tufunge kwa kuona na kufugua kwa kuona kama kuna mawingu na hamkuuona basi timizeni 30 shida iko wapi kama wewe umefikisha 30 sari kula ambao Bado na mwezi hawajauona wache watimize 30; Shida Iko wapisipinde kutukana Watu sio malezi na...
Nahs uelewa na utekelezaji ndo tatizo,sababu kama mipangilio ipo shida hakuna jiulizeni kwani nikitu Gani kinahitajika ili huduma ziweze kuwepo na kuwafikia walengwa!mtafakari kila kitu ni mipango tu miji yote mnayoiona Leo ilianza kama vijiji tu Leo ni miji au majiji makubwa,so tupeleke huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.