Asante kwa ushauri mzuri mkuu. Siasa ni kitu nakipenda tu. Ikolojia ni fani yangu na unaendelea kupambana kuingia mashirika/taasisi ulizopendekeza ili fani yangu pia niendelee kuitendea haki. Kama una namna ya kunisaidia au yeyote mwenye kuniwezesha pia nitashukuru sana. Kwa sisi ambao...
Sahihi kabisa mkuu, siasa ni jambo nalipenda. Kila mtu anachagua kuisaidia jamii yake kwa namna tofauti na mimi ninapendelea kwa njia hii ya siasa. Ndiyo maana naomba mwongozo kwa upande huu.
Asante kwa ushauri wako mkuu. Nimekusoma vizuri sana. Actually siingii kwenye siasa kama kazi/ajira, japo nafikiri siasa za uongozi kiuhalisia ni ajira pia maana unalipwa ujira. Japo kwa muhusika/kiongozi ili ufanikiwe unatakiwa drive yako isiwe malipo bali kuhudumia watu. Lengo langu kuu ni...
Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania........
Naamini wengi wetu tuko salama na tunaendelea kupambana na maisha. Karibuni kwenye mada tusaidiane mawazo ikiwa ni elimu kwangu mleta mada, lakini pia fundisho kwa wengi wetu tunaopenda kujishugulisha na siasa na uongozi.
Mimi ni...
Habari za majukumu ndugu zangu wana jf. Nimejiunga jf kama member mpya na naona ni vyema kujitambulisha na kuomba ushirikiano wenu. Naamini penye wengi pana mengi. Niliwahi ku-readover jf miaka ya nyuma kama 2012 hivi. Baadae mihangaiko ya maisha ikanisahaulisha kabisa jf. Wakati ule sikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.