Recent content by Alexander McQueen

  1. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania Tv problem 📺 soving solution's please

    Majobu tafadhari
  2. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania Tv problem 📺 soving solution's please

    Habari za wakati wapendwa wa jf tv yangu tangu asubuhi inaniandikia "VOLTAGE IS LOW TV WILL TURN OFF sijajua tatizo ni nini ni zaidi ya massage 12 sasa
  3. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nashindwa kupakuwa App yoyote Play Store

    Sio kweli mbona infinix hot 8
  4. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nashindwa kupakuwa App yoyote Play Store

    Inafunguka inakataa kudownlod
  5. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nashindwa kupakuwa App yoyote Play Store

    Msaada tafadhari simu yangu ni zaidi ya wiki imegema kudownlod application yeyote play store na storage bado kubwa
  6. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutrack simu iliyoibwa

    Jamani habari za wakati wana jf nimeibiwa cm Aina ya TECNO K7 fingerprint na IMEI ya hiyo cm ipo nifanyenyeje msaada tafadhari?
  7. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania NACTE APPLICANTS 2019/2020 (WhatsApp group)

    Duuh wabongo bwana
  8. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania NACTE APPLICANTS 2019/2020 (WhatsApp group)

    Ndio maana hujui hata kiswahili mzee baba kaki mbili ndio nini au unamaanisha sale za chadema
  9. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania NACTE APPLICANTS 2019/2020 (WhatsApp group)

    Habari wapendwa naitwa Andrew ningependa kupendekeza wazo Kwa wale wote walio Na wanaotalajia kufanya application online through NACTE tutengeneze group WhatsApp ili tupeane idea juu ya vyuo mbali mbali vya kuomba Na cozi admin 0765-680114 Nicheki DM (direct message) Kwa kutuma neno NACTE
  10. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania Natafuta A Level Syllabi

    Maliza kwanza mtihani
  11. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania Masada shule ya kusoma kama student lakini unafanya mitihani wa F6 kama PC (Mwanza)

    Hivi pc kuna priority ya kupata mkopo au ni non-priority
  12. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanafunzi wa advance (EGM) day's -Mwanza

    Nahitaji msaada wa hao watu wanao chukua hayo masomo cjaleta maada kwa ajili ya siasa kiongozi
  13. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanafunzi wa advance (EGM) day's -Mwanza

    Habari za wakati wana jf natafuta wanafunzi wa advance mchepuo wa EGM mkoa wa mwanza wanao kaa Day's tuwasiliane watsap no 07-58494651 au hata mwalimu pia wa masomo hayo
  14. Alexander McQueen

    JamiiForums Tanzania Batch ya 3 ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Diploma

    K Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom